27.2 C
Dar es Salaam
HomeMahojianoMtaalamu Wetu

Mtaalamu Wetu

Mahojiano ya Wahariri wa FAMA na Mtaalamu na mshauri wa uzalishaji wa mifugo ASAS Dairy Farm-ll

Na Mwandishi Wetu, FAMA Sehemu ya mahojiano ya Wahariri wa FAMA na Mtaalamu na mshauri wa uzalishaji wa mifugo katika shamba la mifugo la ASAS (ASAS Dairy Farm) lililopo Idingilanyi, Iringa, Dk. Isaya Ketto. Swali: Bwana Keto hebu tuambie shughuli za hapa DK. KETTO: Katika mashamba ya...

DUNIA YA SAMAKI: Kifaranga cha kambale ghali, ila sato wameteka soko 

Na Mwandishi Wetu, FAMA Tasnia ya ufugaji wa viumbe hai kwenye maji ni katia ya eneo linalochukua nafasi kubwa kwa sasa nchini Tanzania.Pamoja na kwamba ufugaji wa viumbe aina ya samaki ndio umezoeleka zaidi, lakini ukweli ni kwamba nyanja hiyo ni pana zaidi tofauti na...

Pinda atoboa ya moyoni hisia zake kwa kilimo (ii)

SWALI: Mheshimiwa Pinda umezungumza vizuri kuhusu Kilimo Kwanza. Lakini unazungumzia vipi kuhusu changamoto za pembejeo, masoko na mambo kama hayo? Je, unafikiri kilimo hiki cha Kitanzania kinaweza kweli kuwa mkombozi wa kuinua watu kama ulivyosema au kinaonekana kama ni shughuli ya kujikimu tu watu...

Pinda atoboa ya moyoni hisia zake kwa kilimo (i)

Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, anafanya mahojiano na waandishi wetu, Jesse Kwayu na Nelille Meena, juu ya ndoto yake katika kilimo. Anatoboa chimbuko la kukipenda na kukienzi kilimo. Makala haya yanakuletea kwa undani alikoanzia, alipo na na nini matamanio yake katika sekta hii. Soma...

Pinda atoboa ya moyoni hisia zake kwa kilimo (iii)

SWALI: Mh. Pinda wewe ni kiongozi na hapa tumeona changamoto ya pembejeo na masoko, urahisi kidogo ambao umeupata mpaka ukaweza kuwa na eneo hili la hekari 70 na ukaendelea kuzimudu na kuzifanyia kazi, unaizungumziaje nafasi yako ya uongozi katika kuwezesha urahisi huo, ikilinganishwa labda...

Maajabu ya nyuki: Mdudu mdogo anayezalisha mazao manane ..(i-2)

Nilipata mafunzo kule ya kufuga nyuki kibiashara na niliporudi hapa sijawahi kutoka. Nimeanzisha hii shughuli ya Kijiji cha Nyuki na kutoka kwenye hii ekari moja ambayo baba alinipa, nikanunua tena hili eneo ambalo tuko hapa, nikanunua tena eneo jingine kwa jirani yetu, ekari nyingine,...