27.2 C
Dar es Salaam
HomeMwelekeo

Mwelekeo

Ulega: Uchanjaji wa mifugo bado unasuasua

Na Mwandishi Wetu, FAMA SERIKALI imesema suala la uchanjaji wa mifugo bado lipo nchini hivyo imepanga kushirikiana na sekta binafsi kufanya kampeni ya chanjo nchi nzima ili kuokoa mifugo hiyo. Hayo ameeezwa leo Septemba 6, 2023 jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mifugo na Uvuvi,...

Tanzania kuwa kitovu cha chakula Afrika

Na Mwandishi Wetu, FAMA MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema Serikali imeweka mikakati itakayotekeleza nchi kuwa kitovu cha chakula Afrika na duniani kote ili iweze kunufaika na tishio la njaa linalo ikabili dunia. Mikakati hiyo ni pamoja ile ya kibajeti, kisera, teknolojia, kiuwekezaji...

Bashe akaribisha wawekezaji kwenye kilimo

Na Mwandishi Wetu, FAMA Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewataka wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwani kuna fursa nyingi na kwa ajili ya kumsaidia mkulima mdogo ili kuweza kufanya kilimo chenye tija na kulifanya Bara la Afrika kujitegemea kwenye chakula hata yanapotokea majanga Duniani. Akizungumza Septemba 5,...

Wakulima wekeni akiba ya chakula-Serikali

Na Mwandishi Wetu, FAMA Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli ametoa rai kwa wakulima nchini kuendelea kuweka akiba ya mazao ya chakula kwa ajili ya kukidhi familia zao pamoja na Serikali kufungua wigo kwa wakulima kufanya kilimo biashara kwa kuuza mazao yao nje ya...

Prof. Mkenda: Kilimo kitatuvusha tukiongeza tija, ufanisi (i)

Waziriwa Kilimo Profesa Adolf Mkenda anapataa wasaa wa kuzungumza na waandishi wetu, Jesse Kwayu, Absalom Kibanda na Neville Meena juu ya mipango na matarajio ya wizara hiyo katika kuleta mageuzi makubwa ya kilimo nchini. Miongoni mwa mambo yanayolengwa na serikali ni kuongeza uzalishaji kwa...

Prof. Mkenda: Kilimo kitatuvusha tukiongeza tija, ufanisi (ii)

Kipaumbele cha nne ni umwagiliaji; tunakwama wakati mwingine kwa sababu tunalima kwa msimu mmoja, hivyo tumeanzisha mfuko wa umwagiliaji ambao watu watakuwa wanachangia ili kuboresha miundombinu ya umwagiliaji na kwenda mbele zaidi kwa kufungua maeneo mapya na mengi zaidi. Lengo letu ni kumwagilia hekta...