27.2 C
Dar es Salaam
HomeUvumbuzi Mpya

Uvumbuzi Mpya

Mvinyo: Hazina ya kufuta umasikini wa wakulima

*Alko Vintages yajikita kuwekeza nguvu kuinua uzalishaji zabibu Na Mwandishi Wetu, FAMA WAKATI wakulima wa zabibu wakiendelea kulalama kwa kukosa wataalam wa zao hilo nchini, kampuni ya Alko Vintages iko mbioni kuwafuta machozi kwa kuleta wataalam kutoka Afrika Kusini. Kwa nini Zabibu Archard Kato ni Afisa Mtendaji Mkuu...

TARI Kibaha yaingiza shambani mbegu mpya sita za miwa(l)

Na Hamis Dambaya, Kibaha Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kituo cha Kibaha, Mkoani Pwani kimeuanza mwaka wa Fedha 2022/2023 kwa kutekeleza jukumu la kuzalisha aina sita mbegu mpya za miwa ambazo tayari zimeidhinishwa kutumika baada ya kufanyiwa utafiti. Mbegu hizo ni ambazo zimeidhinishwa hivi...