27.2 C
Dar es Salaam

Matunda

Ijue siri ya kufanikiwa kilimo cha embe, mbogamboga

Na Mwandishi Wetu, FAMA Kwa muda mrefu nchi nyingi za Kiafrika zimekuwa zikitegemea kilimo kuendeleza uchumi wao. Asilimia 30 ya kipato cha nchi kinatoka kwenye kilimo wakati asilimia 60 za nafasi za kazi zinatoka sekta hiyo pia. Aidha, kwa mujibu wa Serikali jumla ya wanafunzi 1,956...

Reuben: Nguvu ya parachichi na ujasiri wa kutoogopa deni benki

…….Safari ya Patrick Mtitu REUBEN Mtitu anasema kuwa mwanzo wa safari yake ya uwekezaji kwenye kilimo ilikuwa ni upandaji wa miti ya mbao na kuni. "Nilianza kuvuna miti na fedha niliyokuwa naipata nilikuwa nawekeza huku (kwenye parachichi), sababu nilishawahi kupata majanga mengi sana ya moto. “…..wakati...

Dodoma ya zabibu na maajabu yake 

*Neema ya kustawi bila umwagiliaji na mvinyo bora *Wakulima ndo wataalamu, maofisa kilimo  Na Mwandishi wa FAMA UNAWEZA kusadiki kwamba pamoja na umaarufu mkubwa ambao zao la zabibu limeendelea kujizolea mkoani Dodoma kwa miongo kadhaa sasa, hakuna ofisa ugani aliyebobea katika zao hilo nchini? Ukweli huu umethibitishwa na...