27.2 C
Dar es Salaam
HomeTahariri

Tahariri

Ajenda 10/30 ikabadili kilimo cha taifa letu

SERIKALI imezindua ajenda 10/30 inayolenga kukuza kilimo kwa walau asilimia 10 ifikapo mwaka 2030. Mpango huo uliozinduliwa Aprili 04 mwaka huu jijini Dodoma na Rais Samia Suluhu Hassan, ulikwenda sanjari na utoaji wa vifaa vya ugani kwa maafisa ugani nchini kote. Vifaa hivyo vilihusisha...

Tumeamua na kudhamiria kuwa wadau wa kilimo cha taifa letu

NAFASI ya kilimo katika taifa la Tanzania ni adhimu. Kwa mujibu wa ripoti ya sampuli ya sensa ya kilimo nchini ya mwaka 2019/20 iliyotolewa na Mamlaka ya Takwimu nchini (NBS), sekta hii inakadiriwa kubeba takribani kaya 7,837,405 zikikadiriwa kuwa na watu wapatao 40,754,506. Idadi...