Na Samwel Mwanga, Maswa
HALMASHAURI ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imejipanga kuongeza uzalishaji wa zao la pamba kwa msimu wa mwaka 2023/2024 kwa kulima hekta 60,438 kwa uzalishaji wa wastani wa kilo 400 kwa ekari moja lengo likiwa ni kuwainua wananchi kiuchumi....
SWALI: Mheshimiwa Pinda umezungumza vizuri kuhusu Kilimo Kwanza. Lakini unazungumzia vipi kuhusu changamoto za pembejeo, masoko na mambo kama hayo? Je, unafikiri kilimo hiki cha Kitanzania kinaweza kweli kuwa mkombozi wa kuinua watu kama ulivyosema au kinaonekana kama ni shughuli ya kujikimu tu watu...
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, anafanya mahojiano na waandishi wetu, Jesse Kwayu na Nelille Meena, juu ya ndoto yake katika kilimo. Anatoboa chimbuko la kukipenda na kukienzi kilimo. Makala haya yanakuletea kwa undani alikoanzia, alipo na na nini matamanio yake katika sekta hii. Soma...
SWALI: Mh. Pinda wewe ni kiongozi na hapa tumeona changamoto ya pembejeo na masoko, urahisi kidogo ambao umeupata mpaka ukaweza kuwa na eneo hili la hekari 70 na ukaendelea kuzimudu na kuzifanyia kazi, unaizungumziaje nafasi yako ya uongozi katika kuwezesha urahisi huo, ikilinganishwa labda...
Sabina Martin, Mbeya
INGAWA zao la parachichi linaonekana kuwa ni dhahabu ya kijani wilayani Rungwe mkoani Mbeya huku wakulima wengi wakichangamikia fursa hii mpya ya kibiashara, kukosekana kwa elimu ya kutosha kwa wakulima wadogo juu ya utunzaji wa zao hilo kumeathiri ubora na kiwango cha...