27.2 C
Dar es Salaam
HomeUncategorized

Uncategorized

Mageuzi ya kilimo yatawezekana tu kwa umwagiliaji

URUSI ilipoivamia Ukraine Februari 24 mwaka 2022 ghafla dunia nzima ilipata madhara makubwa ya upungufu wa nafaka ya ngano pamoja na bidhaa zake. Upungufu huo ulitokana na shehena ya ngano ambayo hulimwa kwa wingi Ukraine kushindwa kusafirishwa. Kwa maana hiyo dunia nzima ilipata upungufu...

Parachini: Dhahabu ya kijani wilayani Rungwe

Sabina Martin, Mbeya   INGAWA zao la parachichi linaonekana kuwa ni dhahabu ya kijani wilayani Rungwe mkoani Mbeya huku wakulima wengi  wakichangamikia fursa hii mpya ya kibiashara, kukosekana kwa elimu ya kutosha kwa wakulima wadogo juu ya utunzaji wa zao hilo kumeathiri ubora na kiwango cha...