27.2 C
Dar es Salaam
HomeMasoko Yetu

Masoko Yetu

Dhana ya kuona mkulima ni mshamba imeua kilimo ….(ii)

*Kwa wengi mkulima ni kama tusi SWALI: Sawa sheria ina changamoto, ulitaka vikundi hivi viendeshwe pasipokuwa na sheria au ni yapi mawazo yako katika suala hili?   Hakuna jambo ambalo unaweza kuliendesha bila vyombo vya sheria. Sheria ni kitu muhimu sana kwa sababu inawapa uwezo kuendesha vizuri...

Dhana ya kuona mkulima ni mshamba imeua kilimo …. (i)

*Kwa wengi mkulima ni kama tusi Katika makala haya, Waandishi Wetu, Jesse Kwayu na Neville Meena wanafanya mahojiano na Mwenyekiti wa Muungano wa Vikundi Wakulima Tanzania (MVIWATA), APPOLO CHAMWELA, ambaye pamoja na mambo mengine anazungumzia safari waliyopitia, wanakopotia na wanakotarajia kwenda katika kumkomboa mkulima mdogo....