27.2 C
Dar es Salaam
HomeMahojianoSera Ya Serikali

Sera Ya Serikali

Tanzania kuwa kitovu cha chakula Afrika

Na Mwandishi Wetu, FAMA MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema Serikali imeweka mikakati itakayotekeleza nchi kuwa kitovu cha chakula Afrika na duniani kote ili iweze kunufaika na tishio la njaa linalo ikabili dunia. Mikakati hiyo ni pamoja ile ya kibajeti, kisera, teknolojia, kiuwekezaji...

Wakulima wekeni akiba ya chakula-Serikali

Na Mwandishi Wetu, FAMA Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli ametoa rai kwa wakulima nchini kuendelea kuweka akiba ya mazao ya chakula kwa ajili ya kukidhi familia zao pamoja na Serikali kufungua wigo kwa wakulima kufanya kilimo biashara kwa kuuza mazao yao nje ya...

MAHOJIANO MAALUM NA WAZIRI WA KILIMO, HUSSEIN BASHE

BASHE:Tuna ndoto kubwa, tutakigeuza kilimo cha Tanzania Jesse Kwayu na Neville Meena SWALI: Wakati mmefanya uzinduzi na ugawaji wa vifaa kwa maofisa ugani ulisema kwamba kuna ardhi inayofaa kwa umwagiliaji kama hekta milioni 29 hivi. Mipango ni ipi katika eneo hili? BASHE: Kwanza kwa muda mrefu sisi...