Na Mwandishi Wetu, FAMA
Sehemu ya mahojiano ya Wahariri wa FAMA na Mtaalamu na mshauri wa uzalishaji wa mifugo katika shamba la mifugo la ASAS (ASAS Dairy Farm) lililopo Idingilanyi, Iringa, Dk. Isaya Ketto.
Swali: Bwana Keto hebu tuambie shughuli za hapa
DK. KETTO: Katika mashamba ya...
Na Mwandishi Wetu, FAMA
Tasnia ya ufugaji wa viumbe hai kwenye maji ni katia ya eneo linalochukua nafasi kubwa kwa sasa nchini Tanzania.Pamoja na kwamba ufugaji wa viumbe aina ya samaki ndio umezoeleka zaidi, lakini ukweli ni kwamba nyanja hiyo ni pana zaidi tofauti na...
SWALI: Mheshimiwa Pinda umezungumza vizuri kuhusu Kilimo Kwanza. Lakini unazungumzia vipi kuhusu changamoto za pembejeo, masoko na mambo kama hayo? Je, unafikiri kilimo hiki cha Kitanzania kinaweza kweli kuwa mkombozi wa kuinua watu kama ulivyosema au kinaonekana kama ni shughuli ya kujikimu tu watu...
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, anafanya mahojiano na waandishi wetu, Jesse Kwayu na Nelille Meena, juu ya ndoto yake katika kilimo. Anatoboa chimbuko la kukipenda na kukienzi kilimo. Makala haya yanakuletea kwa undani alikoanzia, alipo na na nini matamanio yake katika sekta hii. Soma...
SWALI: Mh. Pinda wewe ni kiongozi na hapa tumeona changamoto ya pembejeo na masoko, urahisi kidogo ambao umeupata mpaka ukaweza kuwa na eneo hili la hekari 70 na ukaendelea kuzimudu na kuzifanyia kazi, unaizungumziaje nafasi yako ya uongozi katika kuwezesha urahisi huo, ikilinganishwa labda...
Katika Makala haya waandishi wetu, Jesse Kwayu na Neville Meena, wanazumngumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA), ….., ambaye anaeleza matamanio yao katika kuinua sekta ya kilimo nchini. Fuatana nasi katika mahojiano haya.
SWALI: Miongoni mwa mambo yanayotajwa na wakulima...