31.7 C
Dar es Salaam

themedia

Mageuzi ya kilimo yatawezekana tu kwa umwagiliaji

URUSI ilipoivamia Ukraine Februari 24 mwaka 2022 ghafla dunia nzima ilipata madhara makubwa ya upungufu wa nafaka ya ngano pamoja na bidhaa zake. Upungufu huo ulitokana na shehena ya ngano ambayo hulimwa kwa wingi Ukraine kushindwa kusafirishwa. Kwa maana...

Puuzeni uzushi hakuna vanila inayouzwa milioni 1 kwa kilo-Bashe

Na Mwandishi Wetu, FAMA Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa rai kwa wananchi kuwa na utaratibu wa kufuatilia bei ya mazao katika mitandao mbalimbali ya kimataifa ili kuepuka uzushi unaoweza kujitokeza kwenye baadhi ya bei za mazao. Hayo ameyasema September 3,...

Prof. Mkenda: Kilimo kitatuvusha tukiongeza tija, ufanisi (ii)

Kipaumbele cha nne ni umwagiliaji; tunakwama wakati mwingine kwa sababu tunalima kwa msimu mmoja, hivyo tumeanzisha mfuko wa umwagiliaji ambao watu watakuwa wanachangia ili kuboresha miundombinu ya umwagiliaji na kwenda mbele zaidi kwa kufungua maeneo mapya na mengi zaidi....

Prof. Mkenda: Kilimo kitatuvusha tukiongeza tija, ufanisi (i)

Waziriwa Kilimo Profesa Adolf Mkenda anapataa wasaa wa kuzungumza na waandishi wetu, Jesse Kwayu, Absalom Kibanda na Neville Meena juu ya mipango na matarajio ya wizara hiyo katika kuleta mageuzi makubwa ya kilimo nchini. Miongoni mwa mambo yanayolengwa na...

Pinda atoboa ya moyoni hisia zake kwa kilimo (iii)

SWALI: Mh. Pinda wewe ni kiongozi na hapa tumeona changamoto ya pembejeo na masoko, urahisi kidogo ambao umeupata mpaka ukaweza kuwa na eneo hili la hekari 70 na ukaendelea kuzimudu na kuzifanyia kazi, unaizungumziaje nafasi yako ya uongozi katika...

Pinda atoboa ya moyoni hisia zake kwa kilimo (i)

Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, anafanya mahojiano na waandishi wetu, Jesse Kwayu na Nelille Meena, juu ya ndoto yake katika kilimo. Anatoboa chimbuko la kukipenda na kukienzi kilimo. Makala haya yanakuletea kwa undani alikoanzia, alipo na na nini matamanio...
spot_img

latest articles