Na Samwel Mwanga, Maswa
HALMASHAURI ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imejipanga kuongeza uzalishaji wa zao la pamba kwa msimu wa mwaka 2023/2024 kwa kulima hekta 60,438 kwa uzalishaji wa wastani wa kilo 400 kwa ekari moja lengo likiwa ni kuwainua wananchi kiuchumi....
Na Mwandishi Wetu, FAMA
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewataka wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwani kuna fursa nyingi na kwa ajili ya kumsaidia mkulima mdogo ili kuweza kufanya kilimo chenye tija na kulifanya Bara la Afrika kujitegemea kwenye chakula hata yanapotokea majanga Duniani.
Akizungumza Septemba 5,...
Na Mwandishi Wetu, FAMA
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa rai kwa wananchi kuwa na utaratibu wa kufuatilia bei ya mazao katika mitandao mbalimbali ya kimataifa ili kuepuka uzushi unaoweza kujitokeza kwenye baadhi ya bei za mazao.
Hayo ameyasema September 3, 2023 jijini Dar es Salaam...
Na Mwandishi wa FAMA
MIONGONI mwa kilio kikubwa ambacho taifa hili linakabiliwa nalo ni jinsi ambavyo elimu inayotolewa kwa vijana wetu, kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi vyuo vya elimu ya juu, imeshindwa kutumika kuwapa fursa ya kujiajiri.
Maelfu ya vijana wanaomaliza elimu katika ngazi mbalimbali...
Na Mwandishi Wetu, FAMA
Kwa muda mrefu nchi nyingi za Kiafrika zimekuwa zikitegemea kilimo kuendeleza uchumi wao. Asilimia 30 ya kipato cha nchi kinatoka kwenye kilimo wakati asilimia 60 za nafasi za kazi zinatoka sekta hiyo pia.
Aidha, kwa mujibu wa Serikali jumla ya wanafunzi 1,956...
…….Safari ya Patrick Mtitu
REUBEN Mtitu anasema kuwa mwanzo wa safari yake ya uwekezaji kwenye kilimo ilikuwa ni upandaji wa miti ya mbao na kuni. "Nilianza kuvuna miti na fedha niliyokuwa naipata nilikuwa nawekeza huku (kwenye parachichi), sababu nilishawahi kupata majanga mengi sana ya moto.
“…..wakati...