Na Mwandishi Wetu, FAMA
SERIKALI imesema suala la uchanjaji wa mifugo bado lipo nchini hivyo imepanga kushirikiana na sekta binafsi kufanya kampeni ya chanjo nchi nzima ili kuokoa mifugo hiyo.
Hayo ameeezwa leo Septemba 6, 2023 jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mifugo na Uvuvi,...
Na Mwandishi Wetu, FAMA
MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema Serikali imeweka mikakati itakayotekeleza nchi kuwa kitovu cha chakula Afrika na duniani kote ili iweze kunufaika na tishio la njaa linalo ikabili dunia.
Mikakati hiyo ni pamoja ile ya kibajeti, kisera, teknolojia, kiuwekezaji...
Na Samwel Mwanga, Maswa
HALMASHAURI ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imejipanga kuongeza uzalishaji wa zao la pamba kwa msimu wa mwaka 2023/2024 kwa kulima hekta 60,438 kwa uzalishaji wa wastani wa kilo 400 kwa ekari moja lengo likiwa ni kuwainua wananchi kiuchumi....
Na Mwandishi Wetu, FAMA
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewataka wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwani kuna fursa nyingi na kwa ajili ya kumsaidia mkulima mdogo ili kuweza kufanya kilimo chenye tija na kulifanya Bara la Afrika kujitegemea kwenye chakula hata yanapotokea majanga Duniani.
Akizungumza Septemba 5,...
Na Mwandishi Wetu, FAMA
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa rai kwa wananchi kuwa na utaratibu wa kufuatilia bei ya mazao katika mitandao mbalimbali ya kimataifa ili kuepuka uzushi unaoweza kujitokeza kwenye baadhi ya bei za mazao.
Hayo ameyasema September 3, 2023 jijini Dar es Salaam...
Na Mwandishi Wetu, FAMA
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli ametoa rai kwa wakulima nchini kuendelea kuweka akiba ya mazao ya chakula kwa ajili ya kukidhi familia zao pamoja na Serikali kufungua wigo kwa wakulima kufanya kilimo biashara kwa kuuza mazao yao nje ya...