27.2 C
Dar es Salaam

Fama magazie

Ulega: Uchanjaji wa mifugo bado unasuasua

Na Mwandishi Wetu, FAMA SERIKALI imesema suala la uchanjaji wa mifugo bado lipo nchini hivyo imepanga kushirikiana na sekta binafsi kufanya kampeni ya chanjo nchi nzima ili kuokoa mifugo hiyo. Hayo ameeezwa leo Septemba 6, 2023 jijini Dar es Salaam na...

Tanzania kuwa kitovu cha chakula Afrika

Na Mwandishi Wetu, FAMA MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema Serikali imeweka mikakati itakayotekeleza nchi kuwa kitovu cha chakula Afrika na duniani kote ili iweze kunufaika na tishio la njaa linalo ikabili dunia. Mikakati hiyo ni pamoja ile...

Maswa yajipanga kuongeza uzalishaji zao la pamba

Na Samwel Mwanga, Maswa HALMASHAURI ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imejipanga kuongeza uzalishaji wa zao la pamba kwa msimu wa mwaka 2023/2024 kwa kulima hekta 60,438 kwa uzalishaji wa wastani wa kilo 400 kwa ekari moja lengo...

Bashe akaribisha wawekezaji kwenye kilimo

Na Mwandishi Wetu, FAMA Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewataka wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwani kuna fursa nyingi na kwa ajili ya kumsaidia mkulima mdogo ili kuweza kufanya kilimo chenye tija na kulifanya Bara la Afrika kujitegemea kwenye chakula hata...

Wakulima wekeni akiba ya chakula-Serikali

Na Mwandishi Wetu, FAMA Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli ametoa rai kwa wakulima nchini kuendelea kuweka akiba ya mazao ya chakula kwa ajili ya kukidhi familia zao pamoja na Serikali kufungua wigo kwa wakulima kufanya kilimo biashara kwa...

Mahojiano ya Wahariri wa FAMA na Mtaalamu na mshauri wa uzalishaji wa mifugo ASAS Dairy Farm-ll

Na Mwandishi Wetu, FAMA Sehemu ya mahojiano ya Wahariri wa FAMA na Mtaalamu na mshauri wa uzalishaji wa mifugo katika shamba la mifugo la ASAS (ASAS Dairy Farm) lililopo Idingilanyi, Iringa, Dk. Isaya Ketto. Swali: Bwana Keto hebu tuambie shughuli za...
spot_img

latest articles