Na Mwandishi Wetu, FAMA
SERIKALI imesema suala la uchanjaji wa mifugo bado lipo nchini hivyo imepanga kushirikiana na sekta binafsi kufanya kampeni ya chanjo nchi nzima ili kuokoa mifugo hiyo.
Hayo ameeezwa leo Septemba 6, 2023 jijini Dar es Salaam na...
Na Mwandishi Wetu, FAMA
MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema Serikali imeweka mikakati itakayotekeleza nchi kuwa kitovu cha chakula Afrika na duniani kote ili iweze kunufaika na tishio la njaa linalo ikabili dunia.
Mikakati hiyo ni pamoja ile...
Na Samwel Mwanga, Maswa
HALMASHAURI ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imejipanga kuongeza uzalishaji wa zao la pamba kwa msimu wa mwaka 2023/2024 kwa kulima hekta 60,438 kwa uzalishaji wa wastani wa kilo 400 kwa ekari moja lengo...
Na Mwandishi Wetu, FAMA
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewataka wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwani kuna fursa nyingi na kwa ajili ya kumsaidia mkulima mdogo ili kuweza kufanya kilimo chenye tija na kulifanya Bara la Afrika kujitegemea kwenye chakula hata...
Na Mwandishi Wetu, FAMA
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli ametoa rai kwa wakulima nchini kuendelea kuweka akiba ya mazao ya chakula kwa ajili ya kukidhi familia zao pamoja na Serikali kufungua wigo kwa wakulima kufanya kilimo biashara kwa...
Na Mwandishi Wetu, FAMA
Sehemu ya mahojiano ya Wahariri wa FAMA na Mtaalamu na mshauri wa uzalishaji wa mifugo katika shamba la mifugo la ASAS (ASAS Dairy Farm) lililopo Idingilanyi, Iringa, Dk. Isaya Ketto.
Swali: Bwana Keto hebu tuambie shughuli za...