Na Elizabeth Tanzania, Dodoma
Kwa mkulima wa zabibu mkoani Dodoma, msimu wa mavuno hauashiria mwisho wa kazi ya shambani katika msimu husika wa kilimo, lakini...
Na Elizabeth Tanzania, Dodoma
Jua kali la Dodoma linapochomoza juu ya mashamba ya Hombolo, Mpunguzi na maeneo mengine yanayozalisha zabibu, kijani cha mizabibu kinatoa taswira...
Na Mwandishi Wetu, Kilosa
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka wananchi wa Jimbo...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
WAKULIMA nchini wamehimizwa kujiunga na Bima ya Kilimo ili kujikinga dhidi ya hasara zinazotokana na majanga ya asili, magonjwa na wadudu...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imezindua mkakati wa kutekeleza zaidi ya miradi 30 mipya ya umwagiliaji katika mwaka...
Na Mwandishi Wetu,Dodoma
Chama Kikuu cha Ushirika cha TAMKU kimeanza kutekeleza mkakati wa kupanua uwekezaji wake katika mnyororo wa thamani wa mazao ya kilimo, ikiwemo...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Bodi ya Chai Tanzania imewahamasisha Watanzania kujenga utamaduni wa kunywa chai inayozalishwa nchini, ikisema matumizi ya kinywaji hicho yana faida mbalimbali...
2–3 September 2026 | Mwalimu J.K. Nyerere Trade Fair Grounds, Dar es Salaam, Tanzania
Africa's agriculture, livestock, and food processing sectors are entering a new...